Mwanzo > YANGA > YANGA SC YAICHAPA JKU 1-0 MKAPA HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI YANGA YANGA SC YAICHAPA JKU 1-0 MKAPA BAO pekee la mshambuliaji Mkongo, Fiston Mayele Kalala dakika ya 41 jana lilitosha kuipa Yanga SC ushindi wa 1-0 dhidi ya JKU ya Zanzibar katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Monday, October 11, 2021 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI YANGA
0 comments:
Post a Comment