Mwanzo > SIMBA > KOCHA MPYA ALIVYOANZA KAZI SIMBA SC HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI SIMBA KOCHA MPYA ALIVYOANZA KAZI SIMBA SC KOCHA mpya wa Simba SC, Mspaniola Pablo Franco Martin leo ameanza kazi ya kukinoa kikosi cha timu hiyo baada ya kuwasili juzi na kusaini mkataba wa miaka miwili akirithi mikoba ya Mfaransa, Didier Gomes Da Rosa aliyefukuzwa mwezi uliopita. Friday, November 12, 2021 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI SIMBA
0 comments:
Post a Comment