UONGOZI wa Yanga SC umesikitishwa na madai ya Mwenyekiti wa Wanachama wa klabu ya Simba, Murtaza Mangungu juu yao baada ya mchezo wa jana wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya timu hizo uliomalizika kwa sare ya bila kufungana Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment