Mwanzo > YANGA > YANGA YAMSAJILI KIPA WA MTIBWA SUGAR, MSHERY HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI MTIBWA SUGAR YANGA YANGA YAMSAJILI KIPA WA MTIBWA SUGAR, MSHERY KLABU ya Yanga imemtambulisha kipa Abdultwalib Hamidu Mshery kutoka Mtibwa Sugar kuwa mchezaji wake mpya wa pili katika dirisha dogo baada ya kiungo mkongwe, Salum Abubakar ‘Sure Boy’ kutoka Azam FC. Wednesday, December 29, 2021 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI MTIBWA SUGAR YANGA
0 comments:
Post a Comment