KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imeingia mkataba wa kuidhamini klabu ya Geita Gold FC kwa dau la Sh. Milioni 500 kwa mwaka mmoja. Mkataba huo una kipengele cha kurefushwa iwapo timu hiyo itafanikiwa kusalia katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu unaofuata.
0 comments:
Post a Comment