• HABARI MPYA

    Friday, January 18, 2013

    AZAM WAFIKA SALAMA NAIROBI

    Kikosi cha Azam kimefika salama jana usiku mjini Nairobi, Kenya kwa ziara ya wiki moja ya michezo ya kirafiki. Azam inatarajiwa kucheza mchezo wake wa kwanza na Sofapaka kesho kwenye Uwanja wa Nyayo mjini Nairobi. Taarifa hizi ni kwa mujibu wa Katibu wa Azam, Nassor Idrisa

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: AZAM WAFIKA SALAMA NAIROBI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top