BEKI HODARI WA KULIA, HASSAN RAMADHANI KESSY AREJEA KLABU YA MTIBWA SUGAR KUTOKA NKANA FC YA ZAMBIA
BEKI wa kulia, Hassan Ramadhan Kessy akiwa na nakala za mkataba wa kujiunga tena na Mtibwa Sugar ya Morogoro kutoka Nkana FC ya Zambia. Kessy aliibukia Mtibwa Sugar kabla ya kwenda kuchezea watani wa jadi, Simba na Yanga SC za Dar es Salaam
Item Reviewed: BEKI HODARI WA KULIA, HASSAN RAMADHANI KESSY AREJEA KLABU YA MTIBWA SUGAR KUTOKA NKANA FC YA ZAMBIA
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
0 comments:
Post a Comment