KIINGILIO CHA CHINI KABISA MECHI YA NGAO YA JAMII SIMBA NA NAMUNGO FC NI SH 10,000 JUMAPILI ARUSHA
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) na Bodi ya Ligi wametaja viingilio vya mchezo wa Ngao ya Jamii bana ya Simba SC na Namungo FC utakaofanyika Jumapili Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha na kiingilio cha chini ni Sh. 10,000 kwa jukwaa la mzunguko.
Item Reviewed: KIINGILIO CHA CHINI KABISA MECHI YA NGAO YA JAMII SIMBA NA NAMUNGO FC NI SH 10,000 JUMAPILI ARUSHA
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
0 comments:
Post a Comment