TFF YAZITAKA KLABU ZOTE NCHINI KUWASILISHA NAKALA ZA MIKATABA YA WACHEZAJI WOTE INAYOWASAJILI
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limezitaka klabu zote nchini kuwasilisha nakala za mikataba ya wachezaji inayowasajili na kwamba klabu ambayo haitafanya hivyo haitapewa leseni ya kumtumia mchezaji husika.
Item Reviewed: TFF YAZITAKA KLABU ZOTE NCHINI KUWASILISHA NAKALA ZA MIKATABA YA WACHEZAJI WOTE INAYOWASAJILI
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
0 comments:
Post a Comment