Wachezaji wa Sevilla ya Hispania wakishangilia na taji la Europa League kwa mara nyingine tena baada ya kuifunga Inter Milan ya Italia mabao 3-2 kwenye fainali usiku wa jana Uwanja wa RheinEnergie Jijini Cologne, Ujerumani. Mabao ya Sevilla inayobeba taji la sita sasa yalifungwa na Luuk de Jong mawili dakika ya 12 na 33 na Romelu Lukaku aliyejifunga dakika ya 74 wakati ya Inter Milan yalifungwa na Lukaku kwa penalti dakika ya tano na Diego Godin dakika ya 35 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Hodgkinson eases to victory in 800m heat
-
Great Britain's Keely Hodgkinson wins her 800m heat to ease into the
semi-finals of the women's 800m at the World Athletics Championships in
Tokyo.
16 minutes ago
0 comments:
Post a Comment