SHEIKH ABUBAKAR BAKHRESA NA WAZIRI MWAKYEMBE WAKIFUATILIA KWA MAKINI BURUDANI NDANI YA AZAM COMPLEX KWENYE AZAM FC FESTIVAL
Mkurugenzi Mkuu wa makampuni ya Bakhresa Group Limited, Sheikh Abubakar Bakhresa (kulia) akiwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Harrison Mwakyembe (kushoto), ndiye mgeni rasmi wa Tamasha la Azam FC Festival, akimwakilisha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ambaye amepata udhuru.
Dk. Harrison Mwakyembe (kushoto) akiwasalimu viongozi wa Azam FC, Karim Mapesa na Nassor Idrisa 'Father' na Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almasi Kasongo kwenye Tamasha la Azam FC Festival
Item Reviewed: SHEIKH ABUBAKAR BAKHRESA NA WAZIRI MWAKYEMBE WAKIFUATILIA KWA MAKINI BURUDANI NDANI YA AZAM COMPLEX KWENYE AZAM FC FESTIVAL
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
Bronze and Yamal make history in Fifpro World XI
-
England's Lucy Bronze is named in the Fifpro Women's World XI for the
eighth straight year while Barcelona's Lamine Yamal becomes the youngest
player in th...
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment