MSHAMBULIAJI MGHANA, MICHAEL SARPONG ATUA RASMI DAR KUJIUNGA NA VIGOGO WA NCHI, YANGA SC
MSHAMBULIAJI Mghana, Michael Sarpong tayari yupo Jijini Dar es Salam kwa ajili ya kusaini mkataba wa kujiunga na vigogo wa Tanzania, Yanga SC akitokea klabu ya Rayon Sport ya Rwanda.
0 comments:
Post a Comment