DARUWESH SALIBOKO ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KUJIUNGA NA POLISI TANZANIA BAADA YA LIPULI FC KUSHUKA DARAJA
Mshambuliaji Daruwesh Saliboko akisaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na Polisi Tanzania FC ya Kilimanjaro kutoka Lipuli FC ya Iringa iliyoshuka daraja.
Item Reviewed: DARUWESH SALIBOKO ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KUJIUNGA NA POLISI TANZANIA BAADA YA LIPULI FC KUSHUKA DARAJA
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
0 comments:
Post a Comment