CHAMA ALIPOWAONGOZA WACHEZAJI WENZAKE SIMBA SC KUTOA MISAADA SHULE YA UHURU MCHANGANYIKO LEO
Kiungo nyota wa Simba SC, Mzambia Clatous Chama akiwa na mmoja wa wanafunzi wa shule ya Uhuru Mchanganyiko katika ziara ya kikosi cha timu hiyo leo kuwakabidhi misaada
Wachezaji leo wametembelea shule ya Uhuru Mchanganyiko na kupata nafasi ya kuongea nao na kukabidhi misaada
Hii ndiyo misaada iliyotolewa na klabu hiyo kwa kushirikiana na Taasisi ya Mo Dewji
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment