GEOFFREY KIGGI AJIUNGA NA MTIBWA SUGAR KWA MKATABA WA MIAKA MITATU BAADA YA ALLIANCE FC KUSHUKA DARAJA
Beki wa kati, Geoffrey Luseke Kiggi (kulia) akiwa na Kocha wa Mtibwa Sugar ya Morogoro, Zubery Katwila wakati wa kusaini mkataba wa miaka mitatu kujiunga na timu hiyo ya Manungu, Turiani mkoani Morogoro kutoka Alliance FC ya Mwanza iliyoshuka daraja.
Item Reviewed: GEOFFREY KIGGI AJIUNGA NA MTIBWA SUGAR KWA MKATABA WA MIAKA MITATU BAADA YA ALLIANCE FC KUSHUKA DARAJA
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
0 comments:
Post a Comment