Bondia Muingereza Dillian Whyte akiwa chini baada ya kukutana na ngumi ya kushoto 'upper-cut' ya Mrusi, Alexander Povetkin katika raundi ya tano ya pambano la uzito wa juu leo ukumbi wa Matchroom Fight Camp, Brentwood, England. Povetkin ameshinda kwa KO raundi ya tano na sasa milango ipo wazi kwake kukutana na Tyson Fury anayeshikilia taji la WBC PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Predictor picks: Find out who our expert is backing this weekend... and
play the game with £1,000 up for grabs
-
Predictor is our simple, free-to-play competition where you can win big
cash prizes, with £1,000 up for grabs weekly. Guess the winner of six
Premier Leagu...
5 minutes ago
0 comments:
Post a Comment