KIUNGO MZAMBIA, CLATOUS CHAMA ASHINDA TUZO NYINGINE SIMBA SC KATIKA HAFLA MAALUM
Kiungo Mzambia, Clatous Chota Chama akikabidhiwa tuzo ya Mashabiki usiku wa jana katika hafla ya chakula cha usiku ilioyohusisha vikosi vya ya wanaume na wanawake vya Simba SC vikijumuika na wageni wao Vital'O ya Burundi
Beki Shomari Kapombe akikabidhiwa tuzo maalumu katika usiku ambao wachezaji wa Simba walipewa tuzo mbele ya mgeni rasmi, Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso.
Mwenyekiti wa klabu, Mwina Kaduguda na baadhi ya wajumbe wa bodi wakipokea tuzo ya Bodi ya Wakurugenzi
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment