MBEYA CITY ILIPOICHAPA IHEFU FC 2-0 KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI JANA UWANJA WA SOKOINE KUJIANDAA NA LIGI KUU
TIMU ya Mbeya City jana imecheza mechi ya kirafiki na jirani zao, Ihefu FC ya Mbarali na kuibuka na ushindi wa 2-0, mabao ya Rashid Nchalenga dakika ya 22 na Edgar Mbembela dakika ya 72 Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.
Item Reviewed: MBEYA CITY ILIPOICHAPA IHEFU FC 2-0 KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI JANA UWANJA WA SOKOINE KUJIANDAA NA LIGI KUU
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
SGF, lawmaker back president’s second term
-
From Godwin Tsa, Abuja The Secretary to the Government of the Federation
(SGF) Senator George Akume, has called on the people state to support
President ...
0 comments:
Post a Comment