CARLINHOS AANZA MAZOEZI YANGA SC BAADA YA KUSAINI MKATABA
KIUNGO Carlos Stenio Fernandes Guimaraes do Carmo 'Carlinhos' leo ameanza mazoezi baada ya jana kusaini mkataba wa kujiunga na Yanga SC, saa chache tu tangu awasili Jijini Dar es Salaam kutoka kwao, Angola ambako alikuwa anachezea klabu ya Interclube au Inter ya Luanda.
0 comments:
Post a Comment