Mshambuliaji Son Heung-min akishangilia baada ya kuifungia Tottenham Hotspur bao la tatu dakika ya 39 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Reading kwenye mchezo wa kirafiki Uwanja wa Tottenham Hotspur Jijini London leo akitimiza miaka mitano tangu ajiunge na klabu hiyo. Nyota huyo wa Korea Kusini alijiunga na Spurs tarehe na mwezi kama wa leo mwaka 2015 kutoka Bayer Leverkusen. Mabao mengine ya Spurs yamefungwa na Omar Richards aliyejifunga dakika ya saba, Dele Alli dakika ya 21, Erik Lamela dakika ya 52, wakati la Reading limefungwa na George Puscas kwa penalti dakika ya 80 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Namewee to be remanded over Taiwanese influencer Iris Hsieh’s death; Taiwan
seizes US$150m, detains 25 in Prince Group scam probe: SIngapore live news
-
Namewee wanted in Taiwan influencer Iris Hsieh’s death reclassified murder.
Taiwan seizes US$150 million Prince Group assets, 25 held in scam probe
tied to...
21 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment