KOCHA MPYA, ZLATKO AWASILI DAR TAYARI KUSAINI MKATABA NA KUANZA KAZI YANGA SC
MSERBIA Zlatko Krmpotic akiwa na Ofisa Habari wa klabu ya Yanga, Hassan Bumbuli baada ya kuwasili Dar es Salaam leo kutoka kwao Yugoslavia kwa ajili ya kusaini mkataba wa kuwa kocha mpya wa klabu hiyo
0 comments:
Post a Comment