MHANDISI HERSI SAID ALIVYOPOKEWA LEO UWANJA WA NDEGE BAADA YA KUWASILI NA WACHEZAJI WAPYA, MUKOKO NA KISINDA
Mashabiki wa Yanga SC wakiwa wamembeba Mkurugenzi wa Uwekezaji wa Kampuni ya GSM, Mhandisi Hersi Said kwenye kiti cha Kifalme baada ya kuwasili Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kutoka Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) akiwa na wachezaji wawili, kiungo Tonombe Mukoko na winga Tusila Kisinda wa AS Vita ya huko ambao wote wamejiunga na Yanga SC
Item Reviewed: MHANDISI HERSI SAID ALIVYOPOKEWA LEO UWANJA WA NDEGE BAADA YA KUWASILI NA WACHEZAJI WAPYA, MUKOKO NA KISINDA
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
Napoli held by Casertana on McTominay’s return 🔙
-
Everything happened in the first 45 minutes between Napoli and Casertana.
The fourth pre-season friendly of the azzurri ended in a draw: 1-1, with
goals fr...
0 comments:
Post a Comment