Serge Gnabry (kulia) akipongezwa na wenzake baada ya kufunga mabao mawili dakika za 18 na 33 to kabla ya Robert Lewandowski (katikati) kufunga la tatu dakika ya 88 katika ushindi wa 3-0 wa Bayern Munch dhidi ya Olympique Lyon kwenye mchezo wa Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Jose Alvalade Jijini Lisbon, Ureno na sasa watakutana na Paris Saint-Germain katika fainali Jumapili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
19 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment