![]() |
Makamu wa kwanza wa rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Athumani Jumanne Nyamlani akikabidhi fedha za malipo ya fomu ya kugombea urais wa shirikisho hilo, katika uchaguzi utakaofanyika Februari 24, mwaka huu mjini Dar es Salaam. Anayepokea kushoto ni Ofisa wa TFF, Jonathan Aloyce Kakwaya. |
Sabalenka keeps cool to retain US Open title
-
World number one Aryna Sabalenka lands a first major of the year after
seeing off home hope Amanda Anisimova to retain her US Open title.
8 minutes ago