.jpg)
- HABARI ZA NYUMBANI
- SIMBA
- YANGA
- AZAM
- Read more
YANGA NA STAND UNITED, SIMBA NA MBEYA CITY ROBO FAINALI CRDB
Apr 03, 20250MABINGWA watetezi, Yanga watamenyana na Stand United katika mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), wakati watani wao, S...
- Read more
- Read more
Monday, April 07, 2025
.jpg)
WENYEJI, Dodoma Jiji jana waliibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Kengold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa Jamhur...
Sunday, April 06, 2025
NAMUNGO FC YAICHAPA KMC 2-1 UWANJA WA MAJALIWA
Sunday, April 06, 2025
WENYEJI, Namungo FC wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Majali...
SINGIDA BLACK STARS YAIKANDA AZAM FC 1-0 UWANJA WA LITI
Sunday, April 06, 2025
WENYEJI, Singida Black Stars wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uw...
TANZANIA PRISONS YAICHAPA KAGERA SUGAR 1-0 SOKOINE
Sunday, April 06, 2025
WENYEJI, Tanzania Prisons wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo ...
Saturday, April 05, 2025
MASHUJAA YAIKUNG’UTA FOUNTAIN GATE 3-0 KIGOMA
Saturday, April 05, 2025
WENYEJI, Mashujaa FC wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa L...
PAMBA JIJI YAICHAPA TABORA UNITED 1-0 KIRUMBA
Saturday, April 05, 2025
WENYEJI, Pamba Jiji wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa CCM ...
Thursday, April 03, 2025
KAGERA SUGAR YAICHAPA COASTAL UNION 2-1 KAITABA
Thursday, April 03, 2025
WENYEJI, Kagera Sugar wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa ...
AZAM FC YAICHIMBIA KABURI KENGOLD, YAICHAPA 2-0 SOKOINE
Thursday, April 03, 2025
TIMU ya Azam FC imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji, Kengold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Soko...
JKT TANZANIA NA DODOMA JIJI HAKUNA MBABE, SARE 2-2 MBWENI
Thursday, April 03, 2025
WENYEJI, JKT Tanzania wamelazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 na Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja...
HABARI MOTOMOTO
HABARI ZA NYUMBANI
JKT TANZANIA
KAGERA SUGAR
KOMBE LA TFF
MBEYA CITY
PAMBA FC
SIMBA
SINGIDA UNITED
STAND UNITED
YANGA
YANGA NA STAND UNITED, SIMBA NA MBEYA CITY ROBO FAINALI CRDB
Thursday, April 03, 2025
MABINGWA watetezi, Yanga watamenyana na Stand United katika mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), wakati wat...
HABARI MOTOMOTO
HABARI ZA NYUMBANI
JKT TANZANIA
KAGERA SUGAR
KOMBE LA TFF
MBEYA CITY
PAMBA FC
SIMBA
SINGIDA UNITED
STAND UNITED
YANGA
Wednesday, April 02, 2025
SIMBA SC YACHAPWA MABAO 2-0 NA AL MASRY
Wednesday, April 02, 2025
TIMU ya Simba SC imechapwa mabao 2-0 na wenyeji, Al Masry katika mchezo wa kwanza wa Robo Fainali Kombe la Shirikisho Afrika leo Uwanja wa N...
SINGIDA BLACK STARS YAICHAPA FOUNTAIN GATE 3-0 MANYARA
Wednesday, April 02, 2025
TIMU ya Singida Black Stars imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya wenyeji, Fountain Gate FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Ba...
KMC YAICHAPA TANZANIA PRISONS 3-2 MWENGE
Wednesday, April 02, 2025
WENYEJI, KMC wameibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Halmas...
YANGA YAWAADABISHA TABORA UNITED, YAWACHAPA 3-0 MWINYI
Wednesday, April 02, 2025
MABINGWA watetezi, Yanga wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya wenyeji, Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara le...
PAMBA JIJI YAAMBULIA SARE KWA NAMUNGO, 1-1 KIRUMBA
Wednesday, April 02, 2025
WENYEJI, Pamba Jiji FC wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa C...
Sunday, March 30, 2025
Saturday, March 29, 2025
PAMBA JIJI NAYO YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA CRDB
Saturday, March 29, 2025
TIMU ya Pamba Jiji FC ya Mwanza imefanikiwa kutinga Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na B...
MABINGWA WATETEZI, YANGA NAO WATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA CRDB
Saturday, March 29, 2025
MABINGWA watetezi, Yanga wamefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki ya...
Friday, March 28, 2025
KAGERA SUGAR YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA CRDB
Friday, March 28, 2025
TIMU ya Kagera Sugar imefanikiwa kutinga Hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Ben...
Thursday, March 27, 2025
SIMBA SC YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA TFF
Thursday, March 27, 2025
TIMU ya Simba SC imefanikiwa kwenda Hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ...
Wednesday, March 26, 2025
STAND UNITED YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA CRDB
Wednesday, March 26, 2025
TIMU ya Stand United imefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki ya CRDB...
TAIFA STARS YACHAPWA 2-0 NA MOROCCO KIFUZU KOMBE LA DUNIA
Wednesday, March 26, 2025
TIMU ya taifa ya soka ya Tanzania usiku wa kuamkia leo imechapwa mabao 2-0 na wenyeji, Morocco katika mchezo wa Kundi E kufuzu Fainali za Ko...
Subscribe to:
Posts (Atom)