Getty Images
2012-05-02
Bondia Floyd Mayweather akiwa amepozi kwenye Mkutano na Waandishi wa Habari kuhusu pambano lake na Miguel Cotto juzi, ukumbi wa MGM Grand, Las Vegas, Nevada. Mayweather atapambana na Cotto katika taji la WBA uzito wa Light Middle, Cinco de Mayo, kesho.
0 comments:
Post a Comment