Meneja wa bia ya Serengeti bw. Allan Chonjo katikati akiongea kwa njia ya simu ya mezani na mmoja wa washindi katika droo ya kumi ya promosheni ya SBL iliyochezeshwa leo katika ofisi za kampuni hiyo maeneo ya Oysterbay jijini hapa. Kulia ni makguzi kutoka bodi ya taifa ya michezo ya kubahatisha bw Bakari Maggid, na kushoto ni mwakilishi kutoka PWC bi. Cheryl Vroom.
Mkurugenzi wa masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti bw. Ephraim Mafuru akichezesha droo ya kumtafuta mshindi wa Gari mpya aina ya FORD FIGO inayoshindaniwa kupitia promosheni ya vumbua hazina chini ya kizibo na SBL.kulia ni mkaguzi wa michezo ya kubahatisha kutoka bodi ya taifa ya bahati na sibu, na kushoto ni wawakilishi wa PWC.
Mkurugenzi wa masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti katikati akiongea na waandishi wa habari mda mchache baada ya kuchezesha droo ya kumi katika promosheni ya vumbua hazina chini ya kizibo na sbl. Kulia ni Meneja wa mawasiliano wa kampuni hiyo bw Imani Lwinga na kushoto ni meneja wa bia ya Serengeti bw. Allan Chonjo.
0 comments:
Post a Comment