Mwanzo > YANGA > LWANDAMINA 'ALIVYOWAKAMUA' WACHEZAJI YANGA LEO HABARI MOTOMOTO HABARI PICHA YANGA LWANDAMINA 'ALIVYOWAKAMUA' WACHEZAJI YANGA LEO Kocha wa Yanga, Mzambia Geirge Lwandamina akiongoza mazoezi ya timu hiyo leo Uwanja wa Gymkhana, Dar es Salaam Wachezaji wa Yanga wakiwa mazoezini leo Uwanja wa Gymkhana, Dar es Salaam Hapa Simon Msuva anatafuta mbinu za kuwapita Haruna Niyonzima na Pato Ngonyani (kulia) Simon Msuva akimiliki mpira pembeni ya Pato Ngonyani Vijana walifanya mazoezi ya aina tofauti leo Thursday, December 01, 2016 HABARI MOTOMOTO HABARI PICHA YANGA
0 comments:
Post a Comment