Mshambuliaji wa Nice, Mario Balotelli (kushoto) akimsikiliza refa (kulia). Balotelli alitolewa kwa kadi nyekundu ya moja kwa moja dakika ya mwisho katika mchezo wa Ligue 1 dhidi ya wenyeji, Bordeaux baada ya kumchezea vibaya beki Igor Lewczuk usiku wa jana timu hizo zikitoka sare ya 0-0 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Visually impaired bowler says the sport saved him
-
Ron Homer began playing the game after losing his sight, job, and driving
licence in his mid-40s.
3 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment