Eden Hazard akipongezwa na wachezaji wenzake wa Chelsea baada ya kuifungia bao la pili timu hiyo kwa penalti dakika ya 49 kufuatia yeye mwenyewe kuchezewa rafu na Simon Francis katika ushindi wa 3-0 dhidi ya AFC -Bournemouth kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge, London. Mabao mengine ya Chelsea yamefungwa na Pedro dakika ya 24 na Steve Cook dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ruthless Boulter sends GB into BJK Cup semi-finals
-
A ruthless Katie Boulter secures Great Britain's place in the Billie Jean
King Cup semi-finals with a 2-0 win against Japan.
13 minutes ago
0 comments:
Post a Comment