Nyota Mbrazil, Oscar akiwa ameshika jezi ya Shanghai SIPG ya China kufuatia kujiunga nayo kwa dau la Pauni Milioni 52 kutoka Chelsea ya England. Oscar sasa atakuwa analipwa Pauni 400,000 kwa wiki timu hiyo ya Ligi Kuu ya China na kuwa mchezaji anayelipwa zaidi duniani PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Visually impaired bowler says the sport saved him
-
Ron Homer began playing the game after losing his sight, job, and driving
licence in his mid-40s.
4 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment