METHOD MOGELLA, FUNDI GANI TENA MWINGINE KAMA YEYE KATIKA NCHI HII!
Kiungo wa kimataifa wa Tanzania, Method Mogella (sasa marehemu) akiwa chumbani na mchezaji na mwenzake wa Yanga, Selemani Mkati wakati wa kambi ya kujiandaa na moja ya mechi zao mwaka 1994 mjini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment