![]() |
Mchumia Tumbo akimuadhibu Kido |
![]() |
Refa McHatia akimuhesabia Kido |
![]() |
Kido akijikokota kuinuka |
![]() |
Kanda Kabongo kulia akizipiga na Said Mbelwa katika pambano la uzito wa Super Middle. Kanda alishinda kwa pointi. |
![]() |
Bondia Mtanzania, Nassib Msafiri akizipiga na Brian Mwando wa Zambia katika pambano la uzito wa Middle. Mwando alishinda kwa pointi. |
![]() |
Mwando akiwa ameinami biblia kusali baada ya kushinda |
![]() |
Refa Nemes Kavishe akimtangaza mshindi Mwando |
![]() |
Kido kulia na Mchumia Tumbo wakizipiga |
![]() |
Kido na Mchumia Tumbo |
![]() |
McHatia akimuinua mkono juu Mchumia Tumbo kumtangaza mshindi |
![]() |
Kido akiwa amelala chini ya kudondoshwa na ngumi nzito ya Mchumia Tumbo |
![]() |
Kido amlipa mpa naye Mchumia Tumbo, kama inavyonekana hapa konde la kulia likitembelea kidevu |
0 comments:
Post a Comment