BONDIA wa Uingereza, Anthony Joshua ametwaa Medali ya Dhahabu ya ndondi za uzito wa juu, kwa kumpiga Roberto Cammarelle katika fainali mida hii.
Bondia huyo mzoefu wa Italia na bingwa mtetezi wa Olimpiki - aliongoza raundi ya kwanza kwa 6-5, lakini Joshua akammaliza Cammarelle katika randi mbili zilizofuata kwa pointi 13-10.
Walimaliza kwa pointi 18-18 baada ya raundi tatu, lakini Joshua akapewa ushindi baada ya kurudia hesabu. Italia wanataka rufaa dhidi ya uamuzi huo.
Anthony Joshua akipewa ushindi
Joshua akishangilia ushindi wake
Joshua (kushoto) akizipiga na Cammarelle
Cammarelle aliongoza raundi mbili
Joshua alilazimika kupambana kiume ili kushinda
UBABE: Pambano lilikuwa kali
SOURCE: http://www.dailymail.co.uk


.png)
0 comments:
Post a Comment