![]() |
| Winga wa Yanga, Simon Msuva kushoto akimtoka beki wa Tusker katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Tusker ilishinda 1-0. |
![]() |
| Kikosi cha Yanga kilichoanza leo |
![]() |
| Shabiki mpya wa Yanga, aliyehamia kutoka Simba SC hivi karibuni akiwa mwenye huzuni baada ya timu yake mpya kulala 1-0 |
![]() |
| Kikosi cha Tusker kilichoipiga Yanga leo |
![]() |
| Manahodha, Nadir Haroub 'Cannavaro' wa Yanga kushoto na Joseph Shikokoti wa Tusker wakiziongoza timu zao kuingia uwanjani |
![]() |
| Hapa ni kabla ya maumivu |
![]() |
| Nizar Khalfan kushoto akimtoka beki wa Tusker |
![]() |
| Cannavaro akipambana |
![]() |
| David Luhende akiwatoka mabeki wa Tusker |
![]() |
| Nurdin Bakari akijaribu kupiga krosi mbele ya beki wa Tusker |
![]() |
| Hamisi Kiiza kushoto |
![]() |
| Beki wa Tusker, akimdhibiti chipukizi wa Yanga, George Banda |
![]() |
| Banda kulia anamtoka beki wa Tusker |
![]() |
| Msuva anamkimbiza mtu |
![]() |
| Said Bahanuzi akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Tusker |
![]() |
| Kiiza na beki wa Tusker |
![]() |
| Bahanuzi akikokota mpira dhidi ya mabeki wa Tusker |
![]() |
| Banda akipambana |
![]() |
| Mpira wa juu |
![]() |
| Mfungaji wa bao la Tusker, Dunga akishangilia baada ya kufunga |






















.png)