![]() |
| Beki David Mwantika kulia na kipa Mwadini Ally baada ya dakika 90, wakijiandaa kwa penalti |
![]() |
| Kipre Tchetche akishangilia baada ya kufunga bao la pili |
![]() |
| Mwaikimba akigombea mpira na beki wa Shark |
![]() |
| Mwaikimba akiruka hewani dhidi ya beki wa Shark kuwania mpira kwa kichwa |
![]() |
| Kipre Balou akigombea mpira na kiungo wa Shark FC |
![]() |
| Samih Hajji Nuhu akiambaa na mpira wingi ya kushoto |
![]() |
| Kipre Tchetche akijiandaa kupiga mpira kufunga bao la pili |
![]() |
| Kipre Tchetche akiteleza kwenye chaki |
![]() |
| Humphrey Mieno kulia akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Shark |












.png)