Mkurugenzi wa Mahusiano wa Zantel, Ahmed Seif
Mohamed (kushoto ), akimkabidhi Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari
Tanzania (TASWA), Juma Abbas Pinto, mfano wa hundi ya thamani ya Sh. Milioni 6
na ushei, kwa ajili ya Mkutano Mkuu wa chama hicho, utakaofanyika Desemba 21 na
22, mwaka huu Bagamoyo mkoani Pwani. Katikati ni Katibu Msaidizi wa TASWA, George
John.