• HABARI MPYA

    Sunday, January 06, 2013

    BABBI ANAPOFURAHIA MAISHA MAPYA AZAM...

    Kiungo wa Azam, Abdi Kassim Sadallah ‘Babbi’ ambaye kwa sasa hapewi hata jezi kwenye timu hiyo, akiwa jukwaani akifuatilia mechi ya timu yake jana dhidi ya Miembeni FC ya hapa. Azam ilishinda 3-1 na kushoto kwake ni Mwandishi wa Habari, Timzo Kalugira ‘akimdodosa’ Ballack huyo Unguja. 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: BABBI ANAPOFURAHIA MAISHA MAPYA AZAM... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top