• HABARI MPYA

    Tuesday, January 15, 2013

    MABALOZI WETU GUINNESS FOOTBALL CHALLENGE SAFARINI SAUZI

    Meneja kinywaji cha Guiness Davis Kambi (kushoto)akikabidhi tiketi kwa mwakilishi wa timu ya Tanzania,Mohamed Kobembe katika shindano la Guiness Footbal Challenge litakalo fanyika January 14-22 nchini Afrika ya Kusuni
    Washiriki wa Guinness Football Challenge wakiwa safarini kuelekea Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Dar es Salaam tayari kwa safari ya Afrika Kusini kushiriki shindano hilo.

    Washiriki wa GFC wakihakiki nyaraka zao kabla ya kuondoka Alfajiri ya Jumapili iliyopita kuelekea Afrika Kusini kushiriki shindano hilo.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: MABALOZI WETU GUINNESS FOOTBALL CHALLENGE SAFARINI SAUZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top