Benchi la
Ufundi la Azam FC inayoshiriki Kombe la Mapinduzi visiwani Zanzibar; kutoka
Kulia Kocha Mkuu, Muingereza Stewart Hall, Kocha Msaidizi, Muingereza Kali
Ongala, Daktari Mjerumani Paulo Gomez, Kocha wa Makipa Mzalendo Iddi Abubakar Kocha
Mwanafunzi anayefanya mazoezi, Mjerumani Suren Lurz na mchezaji mstaafu wa
klabu hiyo, Mkenya Ibrahim Shikanda aliyeingizwa kwenye benchi hilo la ufundi. Chini
ni Nahodha Jabir Aziz katika mchezo wa jana wa Kundi B dhidi ya Miembeni FC,
Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Azam ilishinda 3-1.
Benchi hili timu isichukuea Kombe kweli? Haiwezekani!
|