![]() |
| Mashabiki wa Azam wakiishangilia timu yao leo Chamazi |
![]() |
| Kiungo wa Azam FC, Jabir Aziz Stima akipasua katikati ya wachezaji wa African Lyon |
![]() |
| Urithi wa Baba; Mtoto Raiyan akiwa amebebwa na baba yake, Salum Nassor wote wamevaa jezi za Azam leo Chamazi. Kushoto ni rafiki yake Salum, Abdulhadi |
![]() |
| Joackins Atudo wa Azam FC akigombea mpira wa juu na mshambuliaji wa Lyon |
![]() |
| Ushindi raha; Kocha wa Azam FC, Muingereza Stewart Hall akitembea kwa madaha Chamazi leo |
![]() |
| Mfungaji wa mabao mawili ya Azam FC leo, Kipre Tchetche akiwatoka mabeki wa Lyon |
![]() |
| Wamemkalisha; Kipre Tchetche akiwa chini baada ya kuangushwa na mabeki wa Lyon |
![]() |
| Chenga; Kiungo wa Azam FC, Humphrey Mieno aliyetoa pasi ya bao la tatu lililofungwa na Kipre Tchetche akimlamba chenga beki wa Lyon kabla ya kutoa pasi ya bao |
![]() |
| Mieno na Kipre wakishangilia matunda ya kazi yao |
![]() |
| Mieno akimuacha chini beki wa Lyon tayari kutoa pasi ya bao |
![]() |
| Furaha ya ushindi; Wachezaji wa Azam wakishangilia |
![]() |
| Ushindi raha bwana |
![]() |
| Wastaafu; Wachezaji wa zamani wa timu mbalimbali, kutoka kulia Habib Kondo, Ngawina Ngawika, Yahya Issa, Abubakar Mtiro na Victor Costa wakifuatilia mechi hiyo leo |
















.png)