![]() |
| Utamu wa bao; Nizar Khalfan akishangilia bao lake la tatu aliloifungia Yanga leo |
![]() |
| Kipa wa JKT Ruvu, Shaaban Dihile akidaka mpira wa juu |
![]() |
| Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima akifuarahia baada ya krosi yake kuzaa bao |
![]() |
| Mkamate kama unaweza; Msuva akiambaa na mpira dhidi ya Damas Makwaya wa JKT |
![]() |
| Mabingwa watarajiwa; Kikosi cha Yanga SC leo |
![]() |
| Kikosi cha JKT Ruvu leo |
![]() |
| Katikati ya dimba; Kiungo wa Yanga, Frank Domayo akimdhibiti kiungo wa JKT Ruvu mbele yake |
![]() |
| Yanga TV; Shabiki wa Yanga akiwa na kitu mfano wa kamera |
![]() |
| Hunitishi; Simon Msuva wa Yanga akizozana na Haroun Adolph wa JKT Ruvu |
![]() |
| Kombe bandia; Mashabiki wa Yanga wakishangilia na Kombe la 'kubumba' |
![]() |
| Kwa raha zao; Mashabiki wa Yanga, cheki huyo ambaye yuko na mtoto wake, anamuambukiza maradhi mapemaaa |
![]() |
| Anachungulia; Haruna Niyonzima akijiandaa kupiga krosi iliyozaa bao la tatu |
![]() |
| Busu motomoto; Nahodha wa Yanga, Nador Haroub 'Cannavaro' akimpiga busu Simon Msuva baada ya kufunga |
![]() |
| Simon Msuva akimpongeza Hamisi Kiiza kufunga bao la pili |
![]() |
| Amewanyonga; Msuva akiwakebehi mashabiki wa Simba waliokuwa wakiishangilia JKT Ruvu baada ya kufunga |
![]() |
| Mwanariadha?Msuva akikimbia kushangilia bao lake |
![]() |
| Athumani Iddi 'Chuji' akimiliki mpira mbele ya kiungo wa JKT Ruvu, Nashon Naftali, huku Haruna Niyonzima akiwa tayari kutoa msaada |
![]() |
| David Luhende wa Yanga akimtoka Hassan Kikutwa wa JKT Ruvu |
![]() |
| Nizar Khalfan akichanja mbuga... |
![]() |
| Hawa vipi? Kipa Shaaban Dihile nyuma akiwa amenagukiwa na beki wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro' katika moja ya hekaheka za mechi hiyo |























.png)