Mwanzo > Untagged CHEKI TOTOZ ZA REDD'S MISS A TOWN CHEKI TOTOZ ZA REDD'S MISS A TOWN Warembo wa shindano la kumtafuta mshindi wa shindano la Redd's Miss Arusha City Centre wakiwa katika mazoezi ya pamoja kujiandaa na shindano lao ambapo jumla ya warembo ishirini na mbili wanatarajiwa kupanda ukumbini kumtafuta mshindi mmoja Sunday, April 21, 2013