![]() |
| Khamis Mcha 'Vialli' kulia akimtoka beki wa FAR Rabat |
![]() |
| Beki wa Azam FC, Waziri Salum akipanda kusaidia mashambulizi |
![]() |
| Waziri Salum akimgeuza mchezaji wa FAR Rabat |
![]() |
| Hatari kwenye lango la FAR Rabat |
![]() |
| John Bocco akiwatoka mabeki wa FAR Rabat |
![]() |
| John Bocco anakwenda na mpira... |
![]() |
| Mashabiki wa Azam wakishangilia timu yao bila kuchoka |
![]() |
| Kipre Tchetche akimtoka beki wa FAR Rabat |
![]() |
| Khamis Mcha 'Vialli' akitafuta mbinu za kumtoka mchezaji wa FAR Rabat |
![]() |
| Kiungo wa Azam Salum Abubakar akipasua |
![]() |
| Kikosi cha FAR Rabat leo |
![]() |
| John Bocco akimuinua Kipre Tchetche baada ya kugongeasha mwamba dakika ya 90 na ushei |
![]() |
| Kikosi cha Azam FC leo |
![]() |
| Kipre Tchetche akisikitika baada ya kukosa bao la wazi |
![]() |
| Gaudence Mwaikimba akiwania mpira dhidi ya beki wa FAR Rabat |
![]() |
| Kipa Ali Grouni wa FAR Rabat akipangua mpira ya John Bocco |
![]() |
| Kipre kulia akitafuta mbinu za kumtoka beki wa FAR Rabat |
![]() |
| Kipre Tchetche kulia akimiliki mpira pembeni ya beki wa FAR Rabat |
![]() |
| Waziri Salum na mchezaji wa FAR Rabat.... |
![]() |
| Beki wa FAR Rabat akiondosha mpira mbele ya Kipre Tchetche |























.png)