• HABARI MPYA

    Wednesday, June 05, 2013

    KILIMANJARO IV YATUA MAJINI ZANZIBAR TAYARI KUANZA KAZI, MZEE BAKHRESA AONGOZA MAPOKEZI YA BOTI MPYA NA YA KISASA ITAKAYOKUWA NA KASI ZAIDI NCHINI

    IMEWEKWA JUNI 5, 2013 SAA 9:30 ALASIRI
    Boti mpya ya kisasa ya Azam Marine, Kilimanjaro IV ikiwa imeshushwa katika bahari ya Hindi eneo la Zanzibar  mchana wa leo tayari kuanza kazi kwa safari za Dar es Salaam na Zanzibar.

    Mmiliki wa Makampuni ya S.S. Bakhresa, Alhaj Said Salim Awadh Bakhresa (katikati) akijadiliana jambo na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usafiri wa Maji Zanzibar (ZMA) na kushoto ni mmoja wa wafanyakazi wa kampuni yake, Jaffar Iddi 

    Kilimanjaro IV kabla ya kushushwa kwenye Meli iliyoileta nchini

    Inashushwa...

    Inateremshwa majini

    Azam Marine wamekarabati pia eneo la abiria kupumzika wakisubiri usafiri na mfumo mzima wa huduma hadi ofisi za kisasa

    Ofisi mpya za Idara ya Uhamiaji Azam Marine

    Ofisi mpya ya Polisi

    Abiria wanastarehe sasa

    Burudani kwenye Luninga kubwa wakati unangoja boti

    Meneja Mkuu wa Azam Marine, Omar Mohamed Said kushoto akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Kilimanjaro IV

    Mzee Bakhresa alikuwa bize mpaka basi leo

    Anatazama Meli inavyoshushwa

    Mwonekano wa Nje unapoelekea kupanda boti za Azam Marine

    Mzee Bakhresa na Jaffar Iddi nyuma

    Mzee Bakhresa akifuatilia uteremshwaji wa Meli 

    Mzee Bakhresa akitoa maelekezo

    Namna hiyo, kila kitu kinakwenda sawa

    Mzee Bakhresa

    Mzee Bakhresa pembeni ya Abdulrazak, moja kati ya majembe ya Azam Marine

    Baaas, iwekeni hapo hapo na mtie nanga; Mzee Bakhresa akitoa maelekezo

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: KILIMANJARO IV YATUA MAJINI ZANZIBAR TAYARI KUANZA KAZI, MZEE BAKHRESA AONGOZA MAPOKEZI YA BOTI MPYA NA YA KISASA ITAKAYOKUWA NA KASI ZAIDI NCHINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top