• HABARI MPYA

    Thursday, June 06, 2013

    KILIMANJARO IV YAFANYA SAFARI YA KWANZA, MZEE BAKHRESA MWENYEWE NDANI

    IMEWEKWA JUNI 5, 2013 SAA 4:00 USIKU

    Alhaj Said Salim Awadh Bakhresa kulia akiwa ndani ya boti yake mpya, Kilimanjaro IV wakati wa safari ya majaribio eneo la Zanzibar baada ya kteremshwa jioni ya leo. Boti hiyo inatarajiwa kuanza safari yake mwezi huu, baada ya taratibu za ukaguzi kukamilika.  

    Baadhi ya wafanyakazi wa Azam Marine wakizundua Kilimanjaro IV
    Viti vya juu kwa upande wa nje...burudani tupu
    VIP

    Upande wa nje

    Mzee Bakhresa mwenyewe kushoto
    Raha tupu

    Raha mustarehe
    Ni Raha
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: KILIMANJARO IV YAFANYA SAFARI YA KWANZA, MZEE BAKHRESA MWENYEWE NDANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top