ABDALLAH RAMADHANI ‘DULLAH’ ALIKUWA FUNDI WA MPIRA KIKAPU
Mchezaji wa timu ya Vijana ‘City Bulls’, Abdallah Ramadhan ‘Dullah’ akiifungia timu yake katika mchezo wa Ligi ya mpira wa kikapu Dar es Salaam, maarufu kama RBA mwaka 2000 Uwanja wa Ndani wa Taifa Jijini.
0 comments:
Post a Comment