Beki wa Tanzania Prisons, Leonsi Mutalemwa (kushoto) akimvuta jezi mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa katika mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation (ASFC) jana jioni Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
Kipa wa Prisons, Andrew Ntalla akidaka shuti la papo kwa papo la beki wa Yanga, Hassan Kessy 
Beki na Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro' (katikati) akiruka juu kupiga mpira dhidi ya mabeki wa Prisons  
Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe (kulia) akipiga mpira 
Kikosi cha Yanga katika mchezo wa jana
Kikosi cha Prisons katika mchezo wa jana








.png)
0 comments:
Post a Comment