Nyota wa Chelsea, N'Golo Kante akiwa ameshika tuzo yake ya Mchezaji Bora wa Chama cha Wachezaji wa Kulipwa England kwa msimu wa 2016-2017, baada ya kukabidhiwa jana jioni katika ukumbi wa hoteli ya Grosvenor mjini London kufuatia kuwashinda mchezaji mwenzake, Eden Hazard, Harry Kane wa Tottenham, Zlatan Ibrahimovic wa Manchester United, Romelu Lukaku wa Everton na Alexis Sanchez wa Arsenal PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Star NFL rookie reveals surprising way he plans to spend his
record-breaking $53m first contract
-
The highly-rated Love was selected No. 3 overall by the Cardinals out of
Notre Dame in last month's NFL Draft and on Friday he formally signed his
four-yea...
9 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment