Nahodha wa Azam FC, mshambuliaji John Raphael Bocco aliyekuwa majeruhi kwa muda mrefu akifanya mazoezi na timu yake Jumatano Uwanja mdogo wa Azam Complex, Chamazi, kujiandaa na mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation (ASFC) dhidi ya Simba SC Jumamosi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Mshambuliaji chipukizi Shaaban Iddi Chilunda akifanyaa mazoezi naye kujiandaa na mchezio huo
Beki tegemeo, Aggrey Morris aliyekuwa majeruhi pia, naye amefanya mazoezi  
Nahodha Msaidizi wa Azam FC, Himid Mao naye amefanya mazoezi 
Mabeki Mghana Daniel Amoah (kulia) na Gardiel Michael Mbaga (kushoto) nao wapo fiti pia 
Kocha wa Azam FC, Mromania 








.png)
0 comments:
Post a Comment